أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

DRC kuanza kutoa vitambulisho vya taifa kwa kwa raia
أرشيف الأخبار

DRC kuanza kutoa vitambulisho vya taifa kwa kwa raia

Baada ya zoezi hilo kusimamishwa mwaka 2022 kutokana na ukiukaji wa mkataba na mshirika wa zamani, mradi huo sasa unaanza upya huku ushirikiano mpya ukikamilika na kampuni ya kutoka Ghana. Kama sehemu ya ufuatiliaji wa mageuzi ya kipaumbele ya Mkuu wa Nchi, Baraza la Rais la Ufuatiliaji wa Kimkak...