الرئيسية / أرشيف الأخبار
أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

Spika za zamani wa bunge la Tanzania Job Ndugai afariki dunia

Ndugai amekuwa Spika wa Bunge tangu November 17, 2015 hadi Januari 06, 2022 alipojiuzulu na kuendelea kuwa Mbunge wa Kongwa ambapo hivi karibuni, alishinda kura za maoni ili aweze kugombea tena nafasi hiyo. Aliyekuwa spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefarik...

NewstimeTR Haber Merkezi · · آخر تحديث 13‏/8‏/2026، 5:26:21 ص
Spika za zamani wa bunge la Tanzania Job Ndugai afariki dunia
لمحة سريعة

Ndugai amekuwa Spika wa Bunge tangu November 17, 2015 hadi Januari 06, 2022 alipojiuzulu na kuendelea kuwa Mbunge wa Kongwa ambapo hivi karibuni, alishinda kura za maoni ili aweze kugombea tena nafasi hiyo. Aliyekuwa spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefarik...

Ndugai amekuwa Spika wa Bunge tangu November 17, 2015 hadi Januari 06, 2022 alipojiuzulu na kuendelea kuwa Mbunge wa Kongwa ambapo hivi karibuni, alishinda kura za maoni ili aweze kugombea tena nafasi hiyo. Aliyekuwa spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefariki dunia. Taarifa iliyotolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson inasema kuwa kifo cha Job Ndugai, kimetokea Agosti 6, 2025. “Kwa masikitiko makubwa, naomba kutoa taarifa ya kifo cha kiongozi wetu, mwanasiasa mkongwe na Spika mstaafu wa Bunge, Job Ndugai kilichotokea leo jijini Dodoma.