أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

Uturuki yalaani shambulio la kigaidi Nigeria
أرشيف الأخبار

Uturuki yalaani shambulio la kigaidi Nigeria

Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imetuma salamu za rambirambi kwa familia za waathirika na watu wa Nigeria. Uturuki imelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea katika Jimbo la Kwara, Nigeria, na kusababisha vifo vya takribani watu 170. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki ilieleza h...