Juhudi za utafutaji na uokoaji zinaendelea baada ya boti iliyokuwa imebeba zaidi ya abiria 50 kuzama ilipokuwa ikielekea sokoni. Zaidi ya watu 40 hawajulikani walipo baada ya mashua iliyokuwa imebeba takriban abiria 50 kupinduka katika Jimbo la Sokoto kaskazini magharibi mwa Nigeria, shirika la dharura la nchi hiyo lilisema Jumapili. "Takriban watu 10 wameokolewa, huku zaidi ya abiria 40 hawajulikani walipo," Shirika la Kitaifa la Kudhibiti Dharura (NEMA) lilisema kwenye taarifa. Kwa mujibu wa taarifa boti hiyo ilikuwa ikielekea Soko la Goronyo.
Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.
Zaidi ya 40 hawajulikani walipo baada ya boti kupinduka nchini Nigeria
Juhudi za utafutaji na uokoaji zinaendelea baada ya boti iliyokuwa imebeba zaidi ya abiria 50 kuzama ilipokuwa ikielekea sokoni. Zaidi ya watu 40 hawajulikani walipo baada ya mashua iliyokuwa imebeba takriban abiria 50 kupinduka katika Jimbo la Sokoto kaskazini magharibi mwa Nigeria, shirika la d...