الرئيسية / أرشيف الأخبار
أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

Kenya yakabiliwa na tishio la Mgogoro wa mafuta

Wauzaji wahofia upungufu mkubwa huku mdhibiti akisisitiza kuna akiba ya kutosha. Tishio la uhaba wa mafuta linaongezeka nchini Kenya baada ya vita ya Mashariki ya Kati kuvuruga usambazaji wa nishati duniani. Wauzaji wa mafuta wanasema hali ya sasa inaashiria kuingia kwenye mgogoro mkubwa iwapo ha...

NewstimeTR Haber Merkezi · · آخر تحديث 13‏/8‏/2026، 5:26:23 ص
Kenya yakabiliwa na tishio la Mgogoro wa mafuta
لمحة سريعة

Wauzaji wahofia upungufu mkubwa huku mdhibiti akisisitiza kuna akiba ya kutosha. Tishio la uhaba wa mafuta linaongezeka nchini Kenya baada ya vita ya Mashariki ya Kati kuvuruga usambazaji wa nishati duniani. Wauzaji wa mafuta wanasema hali ya sasa inaashiria kuingia kwenye mgogoro mkubwa iwapo ha...

Wauzaji wahofia upungufu mkubwa huku mdhibiti akisisitiza kuna akiba ya kutosha. Tishio la uhaba wa mafuta linaongezeka nchini Kenya baada ya vita ya Mashariki ya Kati kuvuruga usambazaji wa nishati duniani. Wauzaji wa mafuta wanasema hali ya sasa inaashiria kuingia kwenye mgogoro mkubwa iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa. Hata hivyo, Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli (EPRA) imesisitiza kuwa nchi ina akiba ya kutosha, ikijaribu kutuliza hofu ya wananchi huku mahitaji yakiongezeka kutokana na hofu ya kupanda kwa bei. CHANZO: Newstimehub Kenya Mafuta