الرئيسية / أرشيف الأخبار
أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

Watu wasiopungua 25 waokolewa baada ya boti kuzama Nigeria, watu kadhaa bado hawajapatikana

Boti hilo lililokuwa limebeba watu wasiopungua 50 na hakuna miili iliyokuwa imepatikana kufikia Jumanne asubuhi, maafisa wanasema. Watu wasiopungua 25 wameokolewa na wengine 25 hawajulikani waliko siku mbili baada ya boti lililokuwa limebeba watu karibu 50 katika Jimbo la kaskazini magharibi la S...

NewstimeTR Haber Merkezi · · آخر تحديث 13‏/8‏/2026، 5:26:23 ص
Watu wasiopungua 25 waokolewa baada ya boti kuzama Nigeria, watu kadhaa bado hawajapatikana
لمحة سريعة

Boti hilo lililokuwa limebeba watu wasiopungua 50 na hakuna miili iliyokuwa imepatikana kufikia Jumanne asubuhi, maafisa wanasema. Watu wasiopungua 25 wameokolewa na wengine 25 hawajulikani waliko siku mbili baada ya boti lililokuwa limebeba watu karibu 50 katika Jimbo la kaskazini magharibi la S...

Boti hilo lililokuwa limebeba watu wasiopungua 50 na hakuna miili iliyokuwa imepatikana kufikia Jumanne asubuhi, maafisa wanasema. Watu wasiopungua 25 wameokolewa na wengine 25 hawajulikani waliko siku mbili baada ya boti lililokuwa limebeba watu karibu 50 katika Jimbo la kaskazini magharibi la Sokoto, idara ya huduma za dharura imesema siku ya Jumanne. Mamlaka ya Taifa ya Masuala ya Dharura (NEMA) inasema watu 25 walikuwa bado hawajulikani waliko au pengine wanasemekana kufariki. Hakuna miili yoyote iliyopatikana kufikia Jumanne asubuhi, mamlaka hiyo imesema. Chombo hicho, ambacho kilikuwa kilikuwa na abiria wanawake, watoto, na pikipiki kuelekea soko la Goronyo, sehemu ya mazao katika eneo hilo, lilipindukia Jumapili , maafisa wanasema .