Accueil / Archives
Archives

Cette rubrique présente les archives avec leurs dates de publication originales. L’article est affiché dans sa langue d’origine.

Watu wasiopungua 25 wamefukiwa kwenye mgodi mmoja kaskazini mwa Tanzania

Juhudi za uokoaji zinaendelea katika mgodi mmoja nchini Tanzania baada ya watu wasiopungua 25 kufukiwa, Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan alisema siku ya Alhamisi. Juhudi za uokoaji zinaendelea katika mgodi mmoja nchini Tanzania uliotititia siku tatu zilizopita, na kuwafukia watu wasiopungua...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Mis à jour 13/08/2026 05:26:23
Watu wasiopungua 25 wamefukiwa kwenye mgodi mmoja kaskazini mwa Tanzania
En bref

Juhudi za uokoaji zinaendelea katika mgodi mmoja nchini Tanzania baada ya watu wasiopungua 25 kufukiwa, Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan alisema siku ya Alhamisi. Juhudi za uokoaji zinaendelea katika mgodi mmoja nchini Tanzania uliotititia siku tatu zilizopita, na kuwafukia watu wasiopungua...

Juhudi za uokoaji zinaendelea katika mgodi mmoja nchini Tanzania baada ya watu wasiopungua 25 kufukiwa, Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan alisema siku ya Alhamisi. Juhudi za uokoaji zinaendelea katika mgodi mmoja nchini Tanzania uliotititia siku tatu zilizopita, na kuwafukia watu wasiopungua 25, Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan alisema siku ya Alhamisi. Ajali hiyo ya Jumatatu ilitokea wakati ukarabati ukiendelea katika mgodi wa Nyandolwa Mkoa wa kaskazini magharibi wa Shinyanga, karibu kilomita 200 kaskazini mwa mji mkuu, Dodoma. Katika taarifa kwenye mtandao wa X, Rais Samia alisema "Ndugu zetu 25 waliokuwa wakifanya kazi kwenye mgodi wallifukiwa na kifusi." Alielezea "masikitiko yake makubwa" kuhusu ajali hiyo, na kusema kuwa vikosi vya ulinzi na usalama vitasaidia katika shughuli za uokoaji "kuharakisha operesheni inayoendelea." Ajali mbaya