Accueil / Archives
Archives

Cette rubrique présente les archives avec leurs dates de publication originales. L’article est affiché dans sa langue d’origine.

Wanajeshi kusimamia ujenzi wa hospitali Kenya

Ujenzi wa Hospitali ya Sogoo katika kaunti ya Narok haukumfurahisha Rais wa Kenya William Ruto alipozuru eneo hilo Mei mwaka huu, jambo lililomfanya kuagiza wanajeshi kuingilia kati. Rais William Ruto ametuma Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kusimamia ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 75 kote nchin...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Mis à jour 13/08/2026 05:26:23
Wanajeshi kusimamia ujenzi wa hospitali Kenya
En bref

Ujenzi wa Hospitali ya Sogoo katika kaunti ya Narok haukumfurahisha Rais wa Kenya William Ruto alipozuru eneo hilo Mei mwaka huu, jambo lililomfanya kuagiza wanajeshi kuingilia kati. Rais William Ruto ametuma Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kusimamia ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 75 kote nchin...

Ujenzi wa Hospitali ya Sogoo katika kaunti ya Narok haukumfurahisha Rais wa Kenya William Ruto alipozuru eneo hilo Mei mwaka huu, jambo lililomfanya kuagiza wanajeshi kuingilia kati. Rais William Ruto ametuma Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kusimamia ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 75 kote nchini katika juhudi za kuhakikisha unakamilika haraka. Akizungumza katika Kaunti ya Narok wakati wa uzinduzi wa hospitali ya Sogoo Level 4, Waziri wa Ulinzi Patrick Mariru alifichua kuwa Hospitali hiyo yenye mamlaka kamili itakamilika baada ya miezi 11. Ujenzi wa Hospitali ya Sogoo haukumfurahisha Rais Ruto alipozuru eneo hilo Mei mwaka huu, jambo lililomfanya kuagiza KDF kuiboresha. "Jeshi litamsimamia mkandarasi. Ni wazi hivyo hivyo, kazi zote zitafanywa na vijana wa Sogoo. Tutaweka maofisa wawili na kila jioni watanipa ripoti ya maendeleo," alisema.