Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu (IFRC) limesema Jumanne kuwa wafanyakazi wake watano wa kujitolea wameuawa Sudan. Wafanyakazi hao watano wameuawa katika jiji la Bara wakiwa wanagawanya chakula na wakiwa wamevaa vazi rasmi la shirika hilo, lisema IFRC, bila kutoa maelezo ya jinsi walivyouwawa au kumtaja yeyote aliyehusika. Shirika hilo pia limesema wafanyakazi wengine watatu hawajulikani walipo. Jeshi la Sudan na kikosi cha wanamgambo cha Rapid Support Forces (RSF) wamekuwa wakipigana tangu Aprili 2023, mapigano ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 20,000 na kuwafurusha watu milioni 14, kulingana na Umoja wa Mataifa na mamlaka za ndani.
News archive
This section shows archived news with its original publication dates. The article is displayed in its original language.
Wafanyakazi watano wa kujitolea wauawa Sudan wakiwa wanasambaza chakula, kulingana na IFRC
Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu (IFRC) limesema Jumanne kuwa wafanyakazi wake watano wa kujitolea wameuawa Sudan. Wafanyakazi hao watano wameuawa katika jiji la Bara wakiwa wanagawanya chakula na wakiwa wamevaa vazi rasmi la shirika hilo, lisema IFRC, bila kutoa maelez...

At a glance