Serikali ya Uturuki inashirikiana na NATO kuandaa Patriot air defence system katika mji wa Malatya. Serikali ya Uturuki imeanza maandalizi ya kupeleka mfumo wa ulinzi wa anga wa Patriot air defence system katika mashariki mwa nchi, katika mji wa Malatya , ambako pia kuna rada ya tahadhari ya mapema iliyowekwa na NATO tangu 2012. Mfumo huo unalenga kuongeza ulinzi wa anga wa taifa na kulinda raia na miundombinu muhimu kutokana na vitisho vya makombora na mashambulizi ya anga. CHANZO: Newstimehub Uturuki NATO Patriot air defence system
Arquivo de notícias
Esta secção apresenta notícias arquivadas com as datas de publicação originais. O artigo é apresentado no idioma original.
Uturuki Yaandaa Mfumo wa Ulinzi wa Patriot Mashariki
Serikali ya Uturuki inashirikiana na NATO kuandaa Patriot air defence system katika mji wa Malatya. Serikali ya Uturuki imeanza maandalizi ya kupeleka mfumo wa ulinzi wa anga wa Patriot air defence system katika mashariki mwa nchi, katika mji wa Malatya , ambako pia kuna rada ya tahadhari ya mape...

Em resumo