Ghana na EU zimeingia makubaliano ya kwanza ya kijeshi ili kukabiliana na ongezeko la vitisho vya ugaidi Afrika Magharibi. Katika juhudi za kuimarisha usalama wa kikanda, Ghana na European Union zimesaini makubaliano ya kwanza ya ushirikiano wa kijeshi. Makubaliano hayo yanalenga kusaidia Ghana kukabiliana na vitisho vya wanajihadi vinavyoongezeka katika ukanda wa Afrika Magharibi, ambavyo vimeathiri nchi kadhaa jirani. Kupitia ushirikiano huo, kutakuwa na msaada wa kiufundi, mafunzo ya kijeshi, na kubadilishana taarifa za usalama. Chanzo: Newstimehub #Ghana #EU #Usalama #Ulinzi #AfrikaMagharibi #Ugaidi #Diplomasia
Arquivo de notícias
Esta secção apresenta notícias arquivadas com as datas de publicação originais. O artigo é apresentado no idioma original.
Ushirikiano Mpya wa Ulinzi Kati ya Ghana na European Union
Ghana na EU zimeingia makubaliano ya kwanza ya kijeshi ili kukabiliana na ongezeko la vitisho vya ugaidi Afrika Magharibi. Katika juhudi za kuimarisha usalama wa kikanda, Ghana na European Union zimesaini makubaliano ya kwanza ya ushirikiano wa kijeshi. Makubaliano hayo yanalenga kusaidia Ghana k...

Em resumo