Mpango huo unahusisha watu wenye rekodi za uhalifu, watoto wasio na walezi, na wale wanaosita kurudi makwao, kulingana na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo. Serikali ya Uganda imeafikiana na Marekani makubaliano ya kuwapokea na kuwapa hifadhi wahamiaji walionyimwa kuingia Marekani. Kulingana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Uganda Bagiire Vincent Waiswa, mpango huo utahusisha kuwapokea wahamiaji wenye rekodi za uhalifu, watoto wasio na walezi, na wale wanaosita kurudi makwao. Waiswa aliongeza kuwa, nchi hizo ziko mbioni kukamilisha mpango na makubaliano hayo.
Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.
Uganda yakubali kupokea wahamiaji walionyimwa kuingia nchini Marekani
Mpango huo unahusisha watu wenye rekodi za uhalifu, watoto wasio na walezi, na wale wanaosita kurudi makwao, kulingana na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo. Serikali ya Uganda imeafikiana na Marekani makubaliano ya kuwapokea na kuwapa hifadhi wahamiaji walionyimwa kuingia Marekani. Kulingana na...