Ana Sayfa / Haber arşivi
Haber arşivi

Bu bölüm arşiv haberlerini özgün tarihleriyle gösterir. Haber metni özgün dilinde gösterilmektedir.

Uganda kukopa zaidi ya dola milioni 350 kuendesha miradi yake

Mkopo huo ni kwa ajili ya kuunganisha gridi ya umeme na taifa jirani la Sudan Kusini. Uganda inapanga kukopa dola milioni 358 kutoka kwa wakopeshaji wa kikanda na binafsi kufadhili miradi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuunganisha gridi ya umeme na taifa jirani la Sudan Kusini. Taarifa hii ni kul...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Güncellendi 13.08.2026 05:26:22
Uganda kukopa zaidi ya dola milioni 350 kuendesha miradi yake
Bu haberde ne var?

Mkopo huo ni kwa ajili ya kuunganisha gridi ya umeme na taifa jirani la Sudan Kusini. Uganda inapanga kukopa dola milioni 358 kutoka kwa wakopeshaji wa kikanda na binafsi kufadhili miradi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuunganisha gridi ya umeme na taifa jirani la Sudan Kusini. Taarifa hii ni kul...

Mkopo huo ni kwa ajili ya kuunganisha gridi ya umeme na taifa jirani la Sudan Kusini. Uganda inapanga kukopa dola milioni 358 kutoka kwa wakopeshaji wa kikanda na binafsi kufadhili miradi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuunganisha gridi ya umeme na taifa jirani la Sudan Kusini. Taarifa hii ni kulingana na afisa wa Wizara ya Fedha. Mikopo hiyo itatolewa kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Afrika, tawi la Benki ya Maendeleo ya Afrika, Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika, na Benki ya Standard Chartered, itafungua ukurasa mpya, Waziri mdogo wa Fedha, Henry Musasizi, alisema wakati akiwasilisha mpango huo bungeni Jumanne.