Haber arşivi

Bu bölüm arşiv haberlerini özgün tarihleriyle gösterir. Haber metni özgün dilinde gösterilmektedir.

31,085 sonuç

Uturuki yaadhimisha Siku ya Ataturki, Vijana na Michezo.
Haber arşivi

Uturuki yaadhimisha Siku ya Ataturki, Vijana na Michezo.

Mei 19, 1919, Mustafa Kemal Ataturk aliwasili katika mji wa Samsun uliopo Black Sea kutoka Istanbul, kuanzisha vita ambavyo miaka minne baadae vilibadilisha taifa na kuifanya Uturuki ya kisasa. Shughuli mbalimbali zimefanyika kama sehemu ya Maadhimisho ya Mei 19 ya Siku ya Ataturk, Vijana na Mich...