Haber arşivi

Bu bölüm arşiv haberlerini özgün tarihleriyle gösterir. Haber metni özgün dilinde gösterilmektedir.

31,085 sonuç

Ankara et Damas discutent de coopération en matière de sécurité
Haber arşivi

Ankara et Damas discutent de coopération en matière de sécurité

Le vice-président turc Cevdet Yilmaz a accueilli le ministre syrien de l'Intérieur à Ankara, réaffirmant le soutien de la Turquie au développement institutionnel et à l'instauration d'une gouvernance inclusive de la Syrie. Le vice-président turc, Cevdet Yilmaz, a affirmé que la Turquie soutenait...

Rais wa Uganda azindua mfumo wa mtaji kwa vijana
Haber arşivi

Rais wa Uganda azindua mfumo wa mtaji kwa vijana

Chini ya agizo hili jipya, Mashirika ya Ushirika wa Akiba na Mikopo, SACCO zilizojitolea zitaanzishwa katika kila tarafa tano za Kampala, ili kusaidia wahitimu wa Mpango wa Ujuzi wa Rais na kupata mtaji wa kuanzia. Rais Yoweri Kaguta Museveni amezindua mpango unaolenga kuharakisha uwezeshaji wa k...

Wataalamu wa hali ya hewa watadhaharisha ujio mvua kubwa Ethiopia
Haber arşivi

Wataalamu wa hali ya hewa watadhaharisha ujio mvua kubwa Ethiopia

Ethiopia imekabiliwa na changamoto ya mafuriko yaliyopelekea uharibifu mkubwa wa miundombinu. Mamlaka ya hali ya hewa ya nchini Ethiopia, imetoa tahadhari kuhusu uwepo wa mvua kubwa na mafuriko mwezi Agosti. Kulingana na wataalamu hao, maeneo kadhaa nchini humo yanatarajiwa kushuhudia mvua za was...