Haber arşivi

Bu bölüm arşiv haberlerini özgün tarihleriyle gösterir. Haber metni özgün dilinde gösterilmektedir.

31,085 sonuç

Ziara ya Rais Tinubu Uingereza Yaweka Msingi wa Ushirikiano Mpya
Haber arşivi

Ziara ya Rais Tinubu Uingereza Yaweka Msingi wa Ushirikiano Mpya

Bola Tinubu yuko Uingereza kwa ziara ya kihistoria inayolenga kuimarisha biashara na uwekezaji kati ya mataifa hayo mawili. Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, amewasili London kwa ziara muhimu ya kiserikali, ikiwa ni ya kwanza kwa kiongozi wa Nigeria ndani ya miaka kadhaa. Atakutana na King Charles II...

Mtuhumiwa wa Biashara ya Siafu Akamatwa Kenya
Haber arşivi

Mtuhumiwa wa Biashara ya Siafu Akamatwa Kenya

Mkenya mmoja amekamatwa kwa tuhuma za kufanya biashara haramu ya siafu, katika juhudi za serikali kukabiliana na uhalifu wa mazingira. Mamlaka nchini Kenya zimemkamata mtu mmoja anayeshukiwa kuhusika na biashara haramu ya siafu, wakisema hatua hiyo ni sehemu ya operesheni kubwa ya kukomesha biash...

Turkish Navy conducts search, rescue training flights in Senegal
Haber arşivi

Turkish Navy conducts search, rescue training flights in Senegal

The Turkish defence ministry says its naval forces personnel are carrying out duties to train and support the Senegalese Armed Forces. The Ministry of National Defence of Turkey has announced that its Naval Forces are conducting search-and-rescue training flights in Senegal According to the state...

Tanzania yaadhimisha miaka 5 ya kifo cha John Pombe Magufuli
Haber arşivi

Tanzania yaadhimisha miaka 5 ya kifo cha John Pombe Magufuli

Magufuli, au JPM kama alivyoitwa na wengi, alifariki dunia Machi 17, 2021 katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam, kwa maradhi ya moyo. Watanzania wanakumbuka miaka 5 toka walipompoteza John Pombe Magufuli, aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Magufuli, au JP...

CAN 2025 : le procès en appel de supporters sénégalais reporté
Haber arşivi

CAN 2025 : le procès en appel de supporters sénégalais reporté

Une nouvelle audience fixée au 30 mars à Rabat Le procès en appel des 18 supporters sénégalais condamnés après des incidents lors de la finale de la CAN Maroc 2025 a été reporté au 30 mars. La juridiction a accordé ce délai afin de permettre à la défense de préparer plus efficacement ses argument...