Kulingana na orodha hiyo iliyotolewa Septemba 18, 2025, Hispania imechupa hadi nafasi ya kwanza ikitokea ya pili, huku Argentina ikiporomoka hadi nafasi ya tatu kutokea ya pili. Tanzania imeshuka kutoka nafasi ya 103 hadi ya 107 kwa ubora wa soka duniani, kulingana na orodha ya viwango vya ubora iliyotolewa Septemba 18, 2025 na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA). Mabadiliko hayo yanatokana na matokeo ya hivi karibuni ya timu ya taifa ya soka ya nchi hiyo ‘Taifa Stars’, katika mechi za kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026. ‘Taifa Stars’ ilitoka sare ya 1-1 na Congo kabla ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Niger, katika michezo yake.
Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.
Tanzania yashuka viwango vya ubora vya FIFA, Uganda yapanda
Kulingana na orodha hiyo iliyotolewa Septemba 18, 2025, Hispania imechupa hadi nafasi ya kwanza ikitokea ya pili, huku Argentina ikiporomoka hadi nafasi ya tatu kutokea ya pili. Tanzania imeshuka kutoka nafasi ya 103 hadi ya 107 kwa ubora wa soka duniani, kulingana na orodha ya viwango vya ubora...