Accueil / Archives
Archives

Cette rubrique présente les archives avec leurs dates de publication originales. L’article est affiché dans sa langue d’origine.

Tanzania: Yanga yatwaa taji la Ngao ya Jamii ikiifunga Simba 1-0

Bao pekee la ‘Wananchi’ lilipatikana katika dakika 53 ya mchezo, kupitia kwa mchezaji wao nyota, Pacome Zouzoua, na hivyo kuifanya Simba kupoteza mchezo wao wa sita mfululizo katika michezo tofauti, mbele ya mahasimu wao wa jadi. Simba Sports Club imeendeleza ‘uteja’ wake mbele ya mahasimu wao Yo...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Mis à jour 13/08/2026 05:26:21
Tanzania: Yanga yatwaa taji la Ngao ya Jamii ikiifunga Simba 1-0
En bref

Bao pekee la ‘Wananchi’ lilipatikana katika dakika 53 ya mchezo, kupitia kwa mchezaji wao nyota, Pacome Zouzoua, na hivyo kuifanya Simba kupoteza mchezo wao wa sita mfululizo katika michezo tofauti, mbele ya mahasimu wao wa jadi. Simba Sports Club imeendeleza ‘uteja’ wake mbele ya mahasimu wao Yo...

Bao pekee la ‘Wananchi’ lilipatikana katika dakika 53 ya mchezo, kupitia kwa mchezaji wao nyota, Pacome Zouzoua, na hivyo kuifanya Simba kupoteza mchezo wao wa sita mfululizo katika michezo tofauti, mbele ya mahasimu wao wa jadi. Simba Sports Club imeendeleza ‘uteja’ wake mbele ya mahasimu wao Young Africans, baada ya kufungwa bao 1-0, katika mchezo wa Ngao ya Jamii, uliofanyika Septemba 16, 2025, katika uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Bao pekee la ‘Wananchi’ lilipatikana katika dakika 53 ya mchezo, kupitia kwa mchezaji wao nyota, Pacome Zouzoua, na hivyo kuifanya Simba kupoteza mchezo wao wa sita mfululizo katika michezo tofauti, mbele ya mahasimu wao wa jadi.