Mwanzo / Kumbukumbu za habari
Kumbukumbu za habari

Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.

Tanzania: Chama cha CHADEMA chahoji alipo Mwenyekiti wake Tundu Lissu

Lissu anashikiliwa katika gereza la Keko kwa tuhuma za Uhaini zinazomkabili. Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania (CHADEMA) wamelitaka Jeshi la Magereza nchini humo pamoja na vyombo vingine vya dola kueleza alipo Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu. Kulingana na taarifa i...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Imesasishwa 13/8/2026, 05:26:21
Tanzania: Chama cha CHADEMA chahoji alipo Mwenyekiti wake Tundu Lissu
Kwa muhtasari

Lissu anashikiliwa katika gereza la Keko kwa tuhuma za Uhaini zinazomkabili. Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania (CHADEMA) wamelitaka Jeshi la Magereza nchini humo pamoja na vyombo vingine vya dola kueleza alipo Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu. Kulingana na taarifa i...

Lissu anashikiliwa katika gereza la Keko kwa tuhuma za Uhaini zinazomkabili. Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania (CHADEMA) wamelitaka Jeshi la Magereza nchini humo pamoja na vyombo vingine vya dola kueleza alipo Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu. Kulingana na taarifa iliyotolewa Aprili 18, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA Brenda Rupia, kwa nyakati tofauti, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar Ali Ibrahim Juma, wanachama, mawakili na wanafamilia wamefika katika Gereza la Keko jijini Dar es Salam, ambako anashikiliwa, bila kumuona. “Hata hivyo, juhudi zao za kumuona Mheshimiwa Lissu hazikufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo, cha kusikitisha, hawakupewa maelezo yoyote rasmi juu ya alipopelekwa,” ilisema sehemu ya taarifa hiyo. Lissu anashikiliwa katika gereza la Keko kwa tuhuma za Uhaini zinazomkabili.