Inicio / Archivo de noticias
Archivo de noticias

Esta sección muestra noticias archivadas con sus fechas de publicación originales. El artículo se muestra en su idioma original.

Tanzania: Chama cha CCM kufanya mchakato wa uteuzi wa wagombea ubunge, viti maalumu

Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu ambao utahusisha mchakato wa kumchagua rais, wabunge, madiwani na wajumbe wa baraza la wawakilishi, Oktoba 29, 2025. Chama Cha Mapinduzi (CCM) cha nchini Tanzania, kitafanya kikao cha siku mbili chenye lengo la kufanya teuzi za Wagombea Ubunge, wa Bunge la nchi hiy...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Actualizado 13/8/2026, 5:26:21
Tanzania: Chama cha CCM kufanya mchakato wa uteuzi wa wagombea ubunge, viti maalumu
De un vistazo

Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu ambao utahusisha mchakato wa kumchagua rais, wabunge, madiwani na wajumbe wa baraza la wawakilishi, Oktoba 29, 2025. Chama Cha Mapinduzi (CCM) cha nchini Tanzania, kitafanya kikao cha siku mbili chenye lengo la kufanya teuzi za Wagombea Ubunge, wa Bunge la nchi hiy...

Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu ambao utahusisha mchakato wa kumchagua rais, wabunge, madiwani na wajumbe wa baraza la wawakilishi, Oktoba 29, 2025. Chama Cha Mapinduzi (CCM) cha nchini Tanzania, kitafanya kikao cha siku mbili chenye lengo la kufanya teuzi za Wagombea Ubunge, wa Bunge la nchi hiyo, wabunge wa Viti Maalumu, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum. Kulingana na taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, anayeshughulikia itikadi, uenezi na mafunzo Amos Makalla, vikao hivyo ambavyo vitaongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM, vitafanyika Agosti 21 na 23, 2025 jijini Dodoma.