Kumbukumbu za habari

Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.

31,085 matokeo

Misri yapitisha mabadiliko ya baraza la mawaziri
Kumbukumbu za habari

Misri yapitisha mabadiliko ya baraza la mawaziri

Mabadiliko hayo yanaonekana kuweka kipaombele katika uchumi, huku mchumi mwandamizi kutoka Benki ya Dunia Ahmed Rostom akiteuliwa Waziri wa Mipango, na mwenyekiti wa Mamlaka ya Udhibiti wa Fedha Mohamed Farid Saleh akiteuliwa Waziri wa Uwekezaji. Bunge la Misri siku ya Jumanne kwa asilimia kubwa...

Somalia elected to Africa Union security council for first time
Kumbukumbu za habari

Somalia elected to Africa Union security council for first time

Officials said winning the seat reflects Somalia’s renewed engagement with continental diplomacy after decades of conflict and political instability. Somalia has been elected to the African Union’s Peace and Security Council (PSC) for the first time since the body was established in 2004, marking...

Mpango wa Marekani kuvuna madini kutoka DRC wapingwa
Kumbukumbu za habari

Mpango wa Marekani kuvuna madini kutoka DRC wapingwa

Rais Felix Tshisekedi alitoa ofa kwa makampuni ya Marekani kuchimba na kuvuna madini yenye thamani ya Dola Trilioni 24, kama sehemu ya mpango wa Marekani kuisaidia DRC kupambana na waasi. Mpango wa Marekani kuvuna madini adimu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umeendelea kupingwa, si...