Kumbukumbu za habari

Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.

31,085 matokeo

Waasi wa RSF waendelea kulenga miundombinu muhimu Sudan
Kumbukumbu za habari

Waasi wa RSF waendelea kulenga miundombinu muhimu Sudan

Shambulio la RSF dhidi ya vituo vya kusambaza umeme lilisababisha kukatika kwa umeme katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, na kuzidisha mateso ya raia. Shirika la ugavi wa umeme Sudan lilisema Jumatano jioni kwamba vituo viwili vya umeme vililengwa katika shambulio la ndege isiyo na rubani iliyotek...

Sudan Kusini yakanusha uzushi kuhusu kifo cha Rais Kiir
Kumbukumbu za habari

Sudan Kusini yakanusha uzushi kuhusu kifo cha Rais Kiir

Wizara ya mambo ya nje ya Sudan Kusini imetoa taarifa ikisema kuwa "inakanusha na kukataa kabisa taarifa za kupotosha na uchochezi zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii". Siku ya Alhamisi serikali ya Sudan Kusini imekanusha kuwa Rais Salva Kiir amefariki dunia, kufuatia uvumi katika mitandao...