Waziri wa Mambo ya Ndani Leon Schreiber anasema idara inakusanya ushahidi na itaandaa mashtaka ya jinai dhidi ya wale waliohusika Siku ya Jumanne waandamanaji wanadaiwa kuchoma moto jengo la ghorofa mbili la Wizara ya Mambo ya Ndani huko Germiston, katika mji wa Ekurhuleni karibu na Johannesburg,...
Aminu Tambuwal alikamatwa Jumatatu katika mji mkuu, Abuja, kwa madai ya ubadhirigu wa fedha karibu Naira bilioni 189 (milioni $123). Spika wa zamani wa bunge la Nigeria ambaye baadaye alikuwa gavana wa jimbo la Sokoto amekamatwa na Tume ya kupambana na ufisadi wa Kiuchumi na Fedha (EFCC) kuhusu m...
‘Free speech tested, but I’m back,’ says Grok after being suspended for saying Israel and, US are committing genocide in Gaza. Social media platform X temporarily suspended its AI chatbot, Grok, on Monday after users found it was talking about Israel’s actions in Gaza. When users asked Grok why i...
Kenya imerekodi vifo 2,933 vya barabarani kufikia sasa mwaka wa 2025, huku vifo 80 vimeripotiwa katika muda wa siku nne zilizopita, amesema Waziri wa Barabara na Uchukuzi Davis Chirchir. Kenya imeshuhudia moja ya wikiendi mbaya zaidi mwaka huu, kufuatia msururu wa ajali zilizoshuhudiwa nchini hum...
Pata habari na uchambuzi zaidi kwa lugha 45 kutoka TRT Global. Zikiangazia siasa, biashara, michezo na mengineyo. Kenya na Morocco zinakutana kwa mara ya kwanza katika michuano ya TotalEnergies CAF ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) zitakapochuana katika Kundi A katika Uwanja wa Kimataifa wa...
The authorities said that the return was necessary to protect them from the threats of Bamako’s humidity. The Malian military government on Monday started returning home the historic manuscripts of Timbuktu, which were spirited out of their fabled northern city when it was occupied by Al Qaeda-li...
Egypt said on Tuesday that it was working with Qatar and the United States to broker a 60-day ceasefire as part of a renewed push to end Israeli war on Gaza. Egypt said on Tuesday that it was working with fellow Gaza mediators Qatar and the United States to broker a 60-day ceasefire as part of a...
Kwa Tanzania, ulikuwa ni zaidi ya ushindi—ulikuwa ushindi wa tatu mfululizo wa hatua ya makundi na tikiti ya kihistoria ya kutinga hatua ya robo fainali ya Mashindano ya TotalEnergies African Nations Championship (CHAN) 2024. Tangu kulia kipenga cha kuanza mechi, uwanja ulitetema kwa kishindo cha...
Egyptian President Abdel Fattah el Sisi rejected any unilateral actions on the Nile River, warning that anyone who believes Egypt will overlook its water rights “is mistaken.” Egyptian President Abdel Fattah el Sisi rejected any unilateral actions on the Nile River, warning that anyone who believ...
Wanajeshi wawili wa Somalia waliohukumiwa kifo kwa kula njama na kundi la kigaidi la Al Shabab kumuua kamanda mmoja walinyongwa siku ya Jumatatu, maafisa wa mahakama ya kijeshi walisema. Wanajeshi wawili wa Somalia waliohukumiwa kifo kwa kula njama na kundi la kigaidi la Al Shabab kumuua kamanda...
According to reports, the military's attack may have occurred in response to consecutive banditry, especially kidnappings in the previous month. The Nigerian military killed more than 100 members of a criminal gang in an air and ground raid over the weekend, according to a conflict monitoring rep...
A sanarwar da ta wallafa a shafinta na X, hukumar EFCC ta ce ta ƙwace motoci 18 da wayoyi a hannun mutanen da ake zargi da damfarar. Hukumar da ke yaƙi da masu yi wa tattalin arzikin Nijeriya ta’annati, EFCC, ta yi ƙarin haske kan samamen da ta kai Obasanjo Presidential Library ( OOPL ) da ke bir...