Kumbukumbu za habari

Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.

31,085 matokeo

Benin opposition candidate excluded from presidential race
Kumbukumbu za habari

Benin opposition candidate excluded from presidential race

Benin's electoral commission said on Thursday it had excluded the main opposition candidate from standing in the April 2026 presidential election. Benin's electoral commission said on Thursday it had excluded the main opposition candidate from standing in the April 2026 presidential election. The...

Kenya yaanza mitihani ya kitaifa ya sekondari
Kumbukumbu za habari

Kenya yaanza mitihani ya kitaifa ya sekondari

Watahiniwa 996,078 wamesajiliwa kufanya mitihani ya KCSE katika zaidi ya vituo 10,000 kote nchini. Mtihani wa Kitaifa wa Shule za Sekondari 2025 (KCSE) nchini Kenya umeingia siku yake ya pili. Baraza la Kitaifa la Mitihani la Kenya (KNEC) lilisema kuwa maandalizi yote yako sawa ili kuhakikisha mc...

Nigeria parliament investigates $4.6 billion in aid spending
Kumbukumbu za habari

Nigeria parliament investigates $4.6 billion in aid spending

Nigerian lawmakers on Wednesday launched an investigation into how $4.6 billion in international aid grants between 2021 and 2025 was used, saying the money had failed to prevent high mortality rates from HIV, tuberculosis and malaria. Nigerian lawmakers on Wednesday launched an investigation int...

Jeshi la Uganda lakana kuwateka raia wawili wa Kenya
Kumbukumbu za habari

Jeshi la Uganda lakana kuwateka raia wawili wa Kenya

Wanaharakati Wakenya Oyoo na Njagi walikuwa wamesafiri hadi Uganda kumuunga mkono mgombea urais wa upinzani Bobi Wine. Jeshi la Uganda limekanusha madai ya kuwashikilia wanaharakati wawili wa Kenya Bob Njagi na Nicholas Oyoo, ambao walitekwa nyara mjini Kampala, Uganda, Oktoba 1. Mawakili wawili...

At least 63 killed in multi-vehicle crash in Uganda - police
Kumbukumbu za habari

At least 63 killed in multi-vehicle crash in Uganda - police

The accident happened around 2100 GMT on Tuesday on the highway to Gulu, a major city in northern Uganda. At least 63 people were killed in an accident involving multiple vehicles on a highway in western Uganda, police have said. The incident occurred on the Kampala-Gulu highway just after midnig...