Kumbukumbu za habari

Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.

31,085 matokeo

Oauttara wa Côte d'Ivoire awania muhula wa nne
Kumbukumbu za habari

Oauttara wa Côte d'Ivoire awania muhula wa nne

Kuna wapiga kura zaidi ya milioni nane waliosajiliwa na wagombea uraisa watano. Raia wa Côte d'Ivoire wanapiga kura ya urais Jumamosi huku kiongozi aliye madarakani kwa sasa Alassane Ouattara, 83, akitafuta kurudi kwa muhula wa nne. Kuna wagombea wengine wanne wanaokabiliana naye kwenye uchaguzi....

Thailand's former queen Sirikit dies at 93
Kumbukumbu za habari

Thailand's former queen Sirikit dies at 93

Sirikit, the mother of Thailand's King Vajiralongkorn, died at a hospital at 9.21 pm local time on Friday after developing a bloodstream infection. Sirikit, the mother of Thailand's King Vajiralongkorn, died in Bangkok. She was 93. She died at a hospital at 9.21 pm local time (1421GMT) on Friday,...

Rais Tinubu awabadilisha viongozi wakuu wa jeshi la Nigeria
Kumbukumbu za habari

Rais Tinubu awabadilisha viongozi wakuu wa jeshi la Nigeria

Mabadiliko hayo ni ya "kuimarisha usalama wa taifa", kulingana na msemaji wa Rais, na pia yanakuja siku chache baada ya kitengo cha ulinzo nchini humo kukana madai ya njama ya mapinduzi. Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ameteua maafisa wapya wakuu wa kijeshi katika mabadiliko makubwa ya uongozi wa j...

Tanzania election: A cloud of anxiety hangs over Dar es Salaam
Kumbukumbu za habari

Tanzania election: A cloud of anxiety hangs over Dar es Salaam

Ahead of the October 29 general election, residents say uncertainty has gripped the city of 10 million people since the official campaigning period started two months ago By Abubakar Famau After all the drama of a campaign period in Tanzania marked with rallies and songs, concern is mounting in t...