Kumbukumbu za habari

Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.

31,085 matokeo

Paul Biya ya lashe zaɓen Kamaru karo na takwas
Kumbukumbu za habari

Paul Biya ya lashe zaɓen Kamaru karo na takwas

Ɗan takara na adawa kuma tsohon minista, Issa Tchiroma Bakary, ya zo na biyu da kashi 35.2 cikin ɗari, in ji Kwamitin Tsarin Mulki na ƙasar Kamaru. Shugaban Kamaru, Paul Biya, mai shekaru 92 ya lashe zaɓen shugaban ƙasar karo na takwas da kashi 53.7 cikin ɗari na kuri’un da aka kaɗa, a cewar saka...

Kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania kukamilika
Kumbukumbu za habari

Kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania kukamilika

Pazia la kampeni hatimae linafungwa nchini Tanzania, hii ikiashiria miezi miwili ya heka heka za wanasiasa kutoka vyama mbalimbali kuomba ridhaa ya wananchi Ili kupewa nafasi za uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba. Abubakar Famau akiwa Zanzibar Kampeni hizo zilizodumu kwa kipindi cha miezi miw...

Malawi declares state of emergency due to drought
Kumbukumbu za habari

Malawi declares state of emergency due to drought

President Arthur Mutharika appeals for aid as the country faces acute food shortage due to prolonged dry spells Malawi President Arthur Peter Mutharika has declared a state of national disaster in eleven districts of the country facing an acute food shortage due to prolonged dry spells. Justin Sa...

Djibouti yaondoa ukomo wa umri kwa wagombea urais
Kumbukumbu za habari

Djibouti yaondoa ukomo wa umri kwa wagombea urais

Hii inafungua mlango kwa Ismail Omar Guelleh kuwania muhula wa sita licha ya kuwa sasa hivi ana umri wa miaka 77. Bunge la Djibouti limeondoa ukomo wa umri kwa wagombea urais, na kufungua mlango kwa Ismail Omar Guelleh kuwania muhula wa sita ambapo wakati wa uchaguzi huo mwakani atakuwa na umri w...