Kumbukumbu za habari

Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.

31,085 matokeo

Viongozi wa kitamaduni Uganda wapewa zawadi ya magari
Kumbukumbu za habari

Viongozi wa kitamaduni Uganda wapewa zawadi ya magari

Kampeni nchini Uganda zimeanza huku rais wa sasa Yoweri Museveni akigombea tena kiti cha urais, na viongozi wa kitamaduni wamekuwa mawakala muhimu katika uhamasihaji wa kura. Wizara ya Jinsia, Kazi na Maendeleo ya Jamii nchini Uganda imekabidhi rasmi magari mapya kwa viongozi wa kitamaduni waliot...

Msumbiji imeripoti ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa mpox
Kumbukumbu za habari

Msumbiji imeripoti ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa mpox

Mkoa wa Kaskazini wa Niassa unaripotiwa kuathirika zaidi Msumbiji imethibitisha kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya mpox katika muda wa saa 48 zilizopita katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo. Kulingana na ripoti ya Kurugenzi ya Kitaifa ya Afya ya Umma iliyotolewa Jumanne, nchi imerekodi idadi...

Kenyan soldiers on patrol killed in a roadside blast
Kumbukumbu za habari

Kenyan soldiers on patrol killed in a roadside blast

The soldiers were on patrol along the road between Kiunga and Sankuri when their vehicle struck the improvised explosive device (IED). Three Kenyan soldiers were killed Tuesday and several injured when their vehicle was blown up by an improvised explosive device in eastern Lamu county near the bo...