Kumbukumbu za habari

Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.

31,085 matokeo

Uganda strikes deal with Trump to take in US deportees
Kumbukumbu za habari

Uganda strikes deal with Trump to take in US deportees

Uganda becomes the latest African country to accept deported migrants from the US after Eswatini, South Sudan and Rwanda. Uganda has entered an agreement with the United States to take in nationals from third countries who may not get asylum in the U.S. but are reluctant to return to their countr...

Sudan yaanza kuijenga upya Khartoum huku vita vikiendelea
Kumbukumbu za habari

Sudan yaanza kuijenga upya Khartoum huku vita vikiendelea

Umoja wa Mataifa (UN) inakadiria kuwa ukarabati wa miundombinu muhimu ya mji mkuu utahitaji karibu dola milioni 350, wakati ujenzi mzima wa Khartoum "utachukua miaka." Watu wamejitolea na kuanza kufanya usafi katika mitaa ya mji mkuu wa Sudan, Khartoum, ambapo nyumba zimejaa mashimo ya risasi, hu...

Nigeria deports 102 foreign scammers, mostly Chinese nationals
Kumbukumbu za habari

Nigeria deports 102 foreign scammers, mostly Chinese nationals

The deportees were among 792 suspected cybercriminals arrested in a single operation in Lagos. Nigeria has deported 102 foreigners including 50 Chinese nationals convicted of "cyber-terrorism and internet fraud", an anti-graft agency in the west African country said Thursday. One Tunisian was als...

Africa could become 'renewable superpower': UN chief
Kumbukumbu za habari

Africa could become 'renewable superpower': UN chief

UN chief says Africa needs increased concessional finance and greater lending capacity from multilateral development banks. Africa has everything it takes to become a "renewable superpower", UN head Antonio Guterres said Thursday, as he called for greater investment in green energy across the res...

Uturuki yaongeza juhudi za kupatikana kwa 'Libya yenye umoja'
Kumbukumbu za habari

Uturuki yaongeza juhudi za kupatikana kwa 'Libya yenye umoja'

Uturuki inaunga mkono juhudi za majadiliano nchini Libya zenye lengo la kuimarisha umoja wa taifa hilo na uhuru wake. Uturuki inaendeleza juhudi za kidiplomasia zenye lengo la kumaliza mapigano nchini Libya na kuwa na "Libya yenye umoja", kulingana na vyanzo vya wizara ya Ulinzi ya Uturuki Msukum...