Kumbukumbu za habari

Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.

31,085 matokeo

An nemi kotu ta hana Jonathan takara a zaɓen Nijeriya na 2027
Kumbukumbu za habari

An nemi kotu ta hana Jonathan takara a zaɓen Nijeriya na 2027

Ƙarar da lauyan ya shigar ta sanya hukumar INEC da babban lauyan Nijeriya a cikin waɗanda aka kai ƙararsu. An nemi wata kotun tarayyar Nijeriya da ke Abuja ta hana tsohon shugaban ƙasar Goodluck Jonathan tsayawa takarar shugaban ƙasa a zaɓen shekarar 2027 da ma ko wane zaɓe a nan gaba. Kafofin wa...

Rais wa Madagascar amteua jenerali wa jeshi waziri mkuu mpya
Kumbukumbu za habari

Rais wa Madagascar amteua jenerali wa jeshi waziri mkuu mpya

Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amemteua Ruphin Fortunat Zafisambo, jenerali wa jeshi, kuwa waziri mkuu mpya, wiki moja baada ya kuvunja baraza la mawaziri. Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amemteua Ruphin Fortunat Zafisambo, jenerali wa jeshi, kuwa waziri mkuu mpya wa nchi siku ya jumatatu,...

Kenya: Tembo ahamishwa baada ya kuleta madhara kwa wenyeji
Kumbukumbu za habari

Kenya: Tembo ahamishwa baada ya kuleta madhara kwa wenyeji

Tembo huyo alikuwa hodari wa kuvunja uzio wa umeme na kuvamia mimea, na hivyo kusababisha tishio kwa maisha ya wenyeji. Kitengo cha Mifugo na Ukamataji wa Huduma ya Wanyamapori Kenya, KWS kilifanikiwa kumhamisha tembo dume kutoka na usumbufu wake, kutoka Kijiji cha Kithoka karibu na Msitu wa Imen...