Inicio / Archivo de noticias
Archivo de noticias

Esta sección muestra noticias archivadas con sus fechas de publicación originales. El artículo se muestra en su idioma original.

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kumuadhibu kocha wa Senegal Pape Thiaw

Thiaw anatuhumiwa kwa kuwashawishi wachezaji wake kutoka uwanjani muda mfupi baada ya mwamuzi wa mchezo wao, Jean-Jacques Ndala kuizawadia Morocco penati iliyoghubikwa na utata. Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeanza mchakato wa kutoa adhabu kwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Senegal Pap...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Actualizado 13/8/2026, 5:26:20
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kumuadhibu kocha wa Senegal Pape Thiaw
De un vistazo

Thiaw anatuhumiwa kwa kuwashawishi wachezaji wake kutoka uwanjani muda mfupi baada ya mwamuzi wa mchezo wao, Jean-Jacques Ndala kuizawadia Morocco penati iliyoghubikwa na utata. Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeanza mchakato wa kutoa adhabu kwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Senegal Pap...

Thiaw anatuhumiwa kwa kuwashawishi wachezaji wake kutoka uwanjani muda mfupi baada ya mwamuzi wa mchezo wao, Jean-Jacques Ndala kuizawadia Morocco penati iliyoghubikwa na utata. Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeanza mchakato wa kutoa adhabu kwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Senegal Pape Thiaw, kufuatia matukio yaliyojitokeza kwenye mchezo wao fainali ya AFCON 2025 dhidi ya Morocco, uliofanyika Januari 18, 2026. Kwa sasa, kocha huyo anakabiliwa na adhabu ya kufungiwa mechi kadhaa, na kujiweka katika mazingira ya kushindwa kushiriki fainali za Kombe la Dunia litakalotimua vumbi kuanzia June 11 hadi Julai 19, 2026 katika nchi za Marekani, Canada na Mexico. Thiaw anatuhumiwa kwa kuwashawishi wachezaji wake kutoka uwanjani muda mfupi baada ya mwamuzi wa mchezo wao Jean-Jacques Ndala kuwazadiwa Morocco penati iliyoghubikwa na utata.