Senegal imekosoa uamuzi wa CAF uliyoipa Morocco ushindi wa mezani baada ya tukio la wachezaji kutoka uwanjani. CAF imetangaza rasmi Morocco kuwa mabingwa wa AFCON baada ya kubadilisha matokeo ya fainali dhidi ya Senegal kuwa 3-0. Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia tukio la wachezaji wa Senegal kuondoka uwanjani wakipinga penalti iliyotolewa kwa Morocco katika dakika za mwisho za mchezo. Nahodha Sadio Mane aliwashawishi wachezaji kurejea uwanjani, lakini CAF ilisema kitendo hicho kilikiuka kanuni za mashindano. Senegal sasa imeapa kupinga uamuzi huo mahakamani, ikisema unaharibu hadhi ya soka barani Afrika. CHANZO: Newstimehub AFCON2025 Senegal Morocco CAF
News archive
This section shows archived news with its original publication dates. The article is displayed in its original language.
Utata wa Fainali AFCON: Morocco Yapewa Taji, Senegal Yapinga
Senegal imekosoa uamuzi wa CAF uliyoipa Morocco ushindi wa mezani baada ya tukio la wachezaji kutoka uwanjani. CAF imetangaza rasmi Morocco kuwa mabingwa wa AFCON baada ya kubadilisha matokeo ya fainali dhidi ya Senegal kuwa 3-0. Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia tukio la wachezaji wa Senegal kuon...

At a glance