Tanzania yaahidi kuendelea kusaidia jirani yake katika nyakati za dharura. Rais Samia Suluhu Hassan ametuma msaada wa mahindi tani 500 kwa Msumbiji ili kusaidia waathirika wa mafuriko. Msaada huo uliwasilishwa rasmi jijini Maputo kupitia ndege ya mizigo ya Shirika la Ndege la Tanzania. Serikali ya Tanzania imeeleza kuwa itaendelea kusimama bega kwa bega na Msumbiji wakati wa majanga, ikisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kikanda katika kukabiliana na changamoto za kibinadamu. CHANZO: Newstimehub Tanzania
Архив новостей
В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.
Samia atuma msaada Msumbiji kufuatia mafuriko
Tanzania yaahidi kuendelea kusaidia jirani yake katika nyakati za dharura. Rais Samia Suluhu Hassan ametuma msaada wa mahindi tani 500 kwa Msumbiji ili kusaidia waathirika wa mafuriko. Msaada huo uliwasilishwa rasmi jijini Maputo kupitia ndege ya mizigo ya Shirika la Ndege la Tanzania. Serikali y...

Кратко