Архив новостей

В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.

31,085 результатов

Umoja wa Afrika wataka kukomeshwa kwa mauaji ya Wapalestina
Архив новостей

Umoja wa Afrika wataka kukomeshwa kwa mauaji ya Wapalestina

Mwenyekiti huyo wa Tume ya Umoja wa Afrika, pia alitumia fursa hiyo kuangazia migogoro mbalimbali barani Afrika Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssouf ametoa wito wa kukomeshwa kwa mauaji ya Wapalestina yanayoendelea huko Gaza kwa sasa. "Ni lazima dhamira zetu zitusute kwa ya...

Droni za Ukraine zateketeza ghala la mafuta la Urusi
Архив новостей

Droni za Ukraine zateketeza ghala la mafuta la Urusi

Ukraine imeendelea kuishambulia hifadhi ya mafuta ya Urusi, kama kisasi baada ya Urusi kuuwa maelfu ya Waukraine. Mashambulizi ya droni za Ukraine yametekeza ghala la mafuta la Urusi katika eneo la kusini la Krasnodar, kulingana na taarifa iliyotolewa na maofisa wa Urusi siku ya Jumapili. Ukraine...

Serikali ya DRC yakubali kumaliza mapigano na waasi wa M23
Архив новостей

Serikali ya DRC yakubali kumaliza mapigano na waasi wa M23

Hata hivyo, hapakuwa na taarifa yoyote kuhusu jambo hilo kutoka kambi ya AFC/M23. Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imekubaliana na pendekezo la Angola la kumaliza mapigano yake na kikundi cha waasi wa M23. Hayo yanajiri kufuatia kikao cha hivi karibuni kilichoketi jijini Luanda,...

Kasuwar Lantarkin Hasken Rana Ta Fi Bunƙasa a Afirka a 2025
Архив новостей

Kasuwar Lantarkin Hasken Rana Ta Fi Bunƙasa a Afirka a 2025

Rahoto ya ce nahiyar ta zama jagora duk da koma bayan tattalin arzikin duniya Kungiyar African Solar Industry Association ta bayyana cewa Afirka ta zama yankin da kasuwar samar da lantarki ta hasken rana ta fi bunƙasa a duniya a shekarar 2025, duk da koma bayan tattalin arzikin duniya da kuma sau...