Архив новостей

В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.

31,085 результатов

Rais wa Ukraine kukatisha ziara yake ya Afrika Kusini
Архив новостей

Rais wa Ukraine kukatisha ziara yake ya Afrika Kusini

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema amelazimika kukatisha sehemu ya ratiba yake nchini Afrika Kusini baada ya shambulizi la Urusi katika mji mkuu wa Kyiv. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy atakatisha ziara yake nchini Afrika Kusini baada ya mashambulizi ya Urusi katika mji mkuu wa Kyiv...

Rwanda yazindua mikakati mipya ya kuthibiti malaria
Архив новостей

Rwanda yazindua mikakati mipya ya kuthibiti malaria

Mbinu mpya inahusisha kupima familia yote baada ya mtu mmoja kugundulika kuwa na ugonjwa wa malaria ili kutambua na kutibu wengine ambao wanaweza kuambukizwa lakini bado hawana dalili. Rwanda imezindua mkakati mpya wa kudhibiti ugonjwa wa Malaria katika kukabiliana na ongezeko la maambukizi. Takr...