Архив новостей

В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.

31,085 результатов

Tunisia protesters demand freedom for jailed opposition
Архив новостей

Tunisia protesters demand freedom for jailed opposition

Hundreds of Tunisians took to the streets of the capital on Thursday to mark Labour Day, to protest against President Kais Saied. Hundreds of Tunisians took to the streets of the capital on Thursday to mark Labour Day, to protest against President Kais Saied and to demand the release of jailed po...

Serikali ya DRC yathibitisha mlipuko wa ugonjwa wa Kimeta
Архив новостей

Serikali ya DRC yathibitisha mlipuko wa ugonjwa wa Kimeta

Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, kimeta ni ugonjwa wa mlipuko utokanao na vimelea vya bakteria vinavyojulikana kitaalamu kwa jina la ‘bacillus anthracis’. Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa Kimeta nchini humo huku mtu mmoja akipoteza maisha. Mli...

Waziri Mkuu wa Libya aamuru kufungwa kwa balozi 25
Архив новостей

Waziri Mkuu wa Libya aamuru kufungwa kwa balozi 25

Ofisi ya Waziri Mkuu inasema serikali itapitia upya kiwango cha wafanyakazi na mazingira ya kazi katika balozi zilizobaki. Waziri Mkuu wa Libya Abdulhamid Dbeibeh siku ya Jumatano alitangaza mpango wa kufungwa kwa balozi 25 katika nchi mbalimbali kama hatua ya kupunguza matumizi ya serikali. Uamu...