Архив новостей

В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.

31,085 результатов

Zambia yagundua zumaridi ya Kipekee ya karati 11,685
Архив новостей

Zambia yagundua zumaridi ya Kipekee ya karati 11,685

Zumaridi ya karati 11,685 (kilo 2.3) imepatikana nchini Zambia, kampuni ya uchimbaji madini ilisema. Jiwe la zumaridi lenye uzito wa karati 11,685 (kilo 2.3) limegunduliwa nchini Zambia, kampuni moja ya uchimbaji imetangaza. “Kwa uzito wa karati 11,685, Imboo (nyati) ni jiwe la thamani la hivi ka...