Архив новостей

В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.

31,085 результатов

Raia wa Malawi wapiga kura katika uchaguzi mkuu
Архив новостей

Raia wa Malawi wapiga kura katika uchaguzi mkuu

Foleni ndefu ziliundwa katika vituo kadhaa vya kupigia kura katika saa nyingi za mashambani kabla ya kufunguliwa saa 6 asubuhi kwa saa za ndani. Malawi imeanza shughuli y aupigaji kura Jumanne ambapo rais aliyepo madarakani na mtangulizi wake walikuwa wakigombea nafasi ya pili ya kuongoza taifa h...

Bunge la Uganda laanza maandalizi ya michuano ya AFCON 2027
Архив новостей

Bunge la Uganda laanza maandalizi ya michuano ya AFCON 2027

AFCON itaandaliwa na Uganda, Kenya, na Tanzania mwezi Juni na Julai 2027. Spika wa Bunge Anita Among amemuagiza Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Edward Akol kufanya ukaguzi maalum wa fedha ambazo serikali ilizitenga kwa ajili ya Kuandaa Michuano ya soka ya kikanda ya CHAN inayoandaliwa kwa pamo...