Архив новостей

В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.

31,085 результатов

US commends Mali's fight against terror as ties warm up
Архив новостей

US commends Mali's fight against terror as ties warm up

Diplomats from the two countries held talks to discuss security interests in the region, said US Deputy Secretary of State Christopher Landau. US Deputy Secretary of State Christopher Landau said on Tuesday that he spoke with Mali's foreign minister, Abdoulaye Diop, to discuss shared security int...

Mwalimu Mkenya aripotiwa kuuwawa Tanzania
Архив новостей

Mwalimu Mkenya aripotiwa kuuwawa Tanzania

John Okoth Ogutu, Mkenya mwenye umri wa miaka 33 aliyeishi Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi, ameripotiwa kuuawa kwa risasi wakati wa machafuko yaliyotokea Dar es Salaam baada ya uchaguzi. Kwa mujibu wa familia yake, waliarifiwa kuwa Ogutu, aliyekuwa akifundisha katika Shule ya Msingi ya Sky Schoo...

Tanzania: Bei ya Petroli yabakia pale pale
Архив новостей

Tanzania: Bei ya Petroli yabakia pale pale

Gharama hiyo ni sawa na ile iliyokuwa ikitumika kwa kipindi cha kuishia Oktoba 31, 2025. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) nchini Tanzania imetangaza bei ya kikomo kwa bidhaa za mafuta kwa Tanzania Bara zitakazotumika kuanzia Novemba 5, 2025. Kulingana na taarifa iliyotolew...

Kenya: Kampuni ya Safaricom yapata faida zaidi
Архив новостей

Kenya: Kampuni ya Safaricom yapata faida zaidi

Mapato ya kutoa huduma yalipanda hadi shilingi bilioni 199.9 katika muda wa miezi sita hadi mwisho wa mwezi wa Septemba, kutoka shilingi bilioni 179.9 katika kipindi kama hicho mwaka uliotangulia, ilisema Alhamisi. Kampuni ya mawasiliano ya Kenya Safaricom ilipata faida kwa asilimia 55 katika fai...