Архив новостей

В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.

31,085 результатов

Raia wa Sudan Kusini kurejeshwa nyumbani kutoka US
Архив новостей

Raia wa Sudan Kusini kurejeshwa nyumbani kutoka US

Awali Sudan Kusini iliorodheshwa miongoni mwa mataifa ambayo yangefaidika kwa muda mnamo Oktoba 13, 2011, kulingana na mapigano nchini humo kati ya serikali ya rais Salva Kiir na makamu wake wa wakati huo Riek Machar. Raia wa Sudan Kusini waliofurahia kinga maalum nchini Marekani sasa watahitajik...

Paul Biya, Rais mkongwe zaidi duniani, aapishwa Cameroon
Архив новостей

Paul Biya, Rais mkongwe zaidi duniani, aapishwa Cameroon

Paul Biya, Rais mkongwe zaidi duniani, mwenye umri wa miaka 92 ameapishwa kuwa Rais wa Cameroon kwa muhula wa nane. Paul Biya wa Cameroon, ambaye ndiye Rais mwenye umri mkubwa zaidi duniani, ameapishwa kwa muhula wa nane kuwa Rais wa nchi hiyo siku ya Alhamisi, baada ya uchaguzi wenye utata ulioc...