Архив новостей

В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.

31,085 результатов

Eritrea inakana kutuma shehena ya risasi nchini Ethiopia
Архив новостей

Eritrea inakana kutuma shehena ya risasi nchini Ethiopia

Polisi nchini Ethiopia wamesema wamekamata zaidi ya risasi 56,000, ambazo Ethiopia inadai zilitumwa kutoka nchi jirani ya Eritrea. Katika taarifa iliyotolewa kwenye ukurasa wao wa Facebook siku ya Jumatano, polisi nchini Ethiopia walisema walikamata “zaidi ya risasi 56,000” katika eneo la Amhara,...