Архив новостей

В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.

31,085 результатов

Ademola Lookman karibu kujiunga na Atletico Madrid
Архив новостей

Ademola Lookman karibu kujiunga na Atletico Madrid

Lookman tayari yupo Madrid kwa ajili ya vipimo vya afya na kusaini mkataba. Atletico Madrid imetangaza kuwa imefikia makubaliano na klabu ya Atalanta ya Italia kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Nigeria, Ademola Lookman. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 tayari yupo Madrid kwa ajili ya ku...