Home / News archive
News archive

This section shows archived news with its original publication dates. The article is displayed in its original language.

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania apokea salamu maalumu kutoka Manchester United

Rais Samia alipokea salamu hizo kutoka kwa mmiliki wa klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe, jijini Dar es Salaam, Aprili 11, 2025. Wachezaji na viongozi wa klabu ya Manchester United ya Uingereza, wakiongozwa na Sir Alex Ferguson na kocha wa sasa wa ‘Mashetani hao Wekundu’, Ruben Amorim, wametuma salamu...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Updated 13/08/2026, 05:26:19
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania apokea salamu maalumu kutoka Manchester United
At a glance

Rais Samia alipokea salamu hizo kutoka kwa mmiliki wa klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe, jijini Dar es Salaam, Aprili 11, 2025. Wachezaji na viongozi wa klabu ya Manchester United ya Uingereza, wakiongozwa na Sir Alex Ferguson na kocha wa sasa wa ‘Mashetani hao Wekundu’, Ruben Amorim, wametuma salamu...

Rais Samia alipokea salamu hizo kutoka kwa mmiliki wa klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe, jijini Dar es Salaam, Aprili 11, 2025. Wachezaji na viongozi wa klabu ya Manchester United ya Uingereza, wakiongozwa na Sir Alex Ferguson na kocha wa sasa wa ‘Mashetani hao Wekundu’, Ruben Amorim, wametuma salamu kwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Rais Samia alipokea salamu hizo kutoka kwa mmiliki wa klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe, jijini Dar es Salaam, Aprili 11, 2025. Kwa upande wake, mmiliki wa Manchester United, ameeleza dhamira yake ya kuitumia Klabu yake kutangaza utalii nchini Tanzania, huku Rais Samia akimkaribisha kuanzisha vituo vya mafunzo ya michezo, maarufu kama ‘Sports Academies.’ Kwa mujibu wa taarifa ya iliyochapishwa kwenye ukurasa wa X wa Ikulu ya Tanzania, ujumbe wa klabu hiyo maarufu ulimwenguni, ulifanya mazungumzo na Rais Samia ambapo pia mmiliki wa Manchester United, alielezea dhamira yake ya kuitumia Klabu yake kutangaza utalii nchini Tanzania.