Ana Sayfa / Haber arşivi
Haber arşivi

Bu bölüm arşiv haberlerini özgün tarihleriyle gösterir. Haber metni özgün dilinde gösterilmektedir.

Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amfuta kazi makamu wake

Bol Mel aliteuliwa mwezi Februari mwaka huu kama mmoja kati ya mamakamu 5 wa urais nchini humo. Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amemfuta kazi makamu wake Benjamin Bol Mel siku ya Jumatano. Katika hatua nyingine, kiongozi huyo amemvua Bol Mel nafasi ya uongozi wa chama tawala nchini humo. Uamuzi h...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Güncellendi 13.08.2026 05:26:19
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amfuta kazi makamu wake
Bu haberde ne var?

Bol Mel aliteuliwa mwezi Februari mwaka huu kama mmoja kati ya mamakamu 5 wa urais nchini humo. Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amemfuta kazi makamu wake Benjamin Bol Mel siku ya Jumatano. Katika hatua nyingine, kiongozi huyo amemvua Bol Mel nafasi ya uongozi wa chama tawala nchini humo. Uamuzi h...

Bol Mel aliteuliwa mwezi Februari mwaka huu kama mmoja kati ya mamakamu 5 wa urais nchini humo. Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amemfuta kazi makamu wake Benjamin Bol Mel siku ya Jumatano. Katika hatua nyingine, kiongozi huyo amemvua Bol Mel nafasi ya uongozi wa chama tawala nchini humo. Uamuzi huo umemfanya Bol Mel, ambaye alikuwa akitajwa kama mrithi sahihi wa Rais Salva Kiir, kupoteza nafasi ya juu ya Ujenerali ndani ya jeshi la nchi hiyo, na kwa sasa atakuwa afisa wa kawaida ndani ya jeshi hilo. Bol Mel aliteuliwa mwezi Februari mwaka huu kama mmoja kati ya mamakamu 5 wa urais nchini humo.