Início / Arquivo de notícias
Arquivo de notícias

Esta secção apresenta notícias arquivadas com as datas de publicação originais. O artigo é apresentado no idioma original.

Raia wa Afrika kutolipia viza kuingia Burkina Faso

Hata hivyo, urahisi huo unaweza kubadilika baada ya nchi hiyo kujiondoa kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS). Raia wa Afrika wanaotarajia kuitembelea Burkina Faso, sasa hawatohitaji kulipia gharama za viza. Hatua hiyo inalenga kukuza muingiliano wa watu na bidhaa ndani...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Atualizado 13/08/2026, 05:26:19
Raia wa Afrika kutolipia viza kuingia Burkina Faso
Em resumo

Hata hivyo, urahisi huo unaweza kubadilika baada ya nchi hiyo kujiondoa kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS). Raia wa Afrika wanaotarajia kuitembelea Burkina Faso, sasa hawatohitaji kulipia gharama za viza. Hatua hiyo inalenga kukuza muingiliano wa watu na bidhaa ndani...

Hata hivyo, urahisi huo unaweza kubadilika baada ya nchi hiyo kujiondoa kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS). Raia wa Afrika wanaotarajia kuitembelea Burkina Faso, sasa hawatohitaji kulipia gharama za viza. Hatua hiyo inalenga kukuza muingiliano wa watu na bidhaa ndani ya nchi hiyo, kulingana na Waziri wa Usalama wa Burkina Faso, Mahamadou Sana. "Kuanzia sasa, raia atokaye nchi yoyote ya Kiafrika, hatolazimika kulipia gharama za viza ili aingie Burkina Faso,” alisema Sana, katika kikao cha baraza la mawaziri kilichoongozwa na Kapteni Ibrahim Traoré siku ya Alhamisi.