Arquivo de notícias

Esta secção apresenta notícias arquivadas com as datas de publicação originais. O artigo é apresentado no idioma original.

31,085 resultados

"Uganda sio nchi ya kuchezewa" - Rais Museveni
Arquivo de notícias

"Uganda sio nchi ya kuchezewa" - Rais Museveni

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, tarehe 7 Desemba 2025, alihutubia viongozi wa mashinani wa chama chake cha National Resistance Movement (NRM) katika eneo la Lango, na kutoa ujumbe mkali kwa wapinzani na wananchi. Rais Yoweri Museveni, akizungumza katika shule ya upili ya Lango, aliwakumbusha wan...