Mamlaka zinasema kuwa watu wasiojulikana na waliokuwa na silaha waliwalenga maafisa hao eneo la Agu la Jimbo la Benue; washukiwa 6 wamekamatwa Maafisa watatu wa polisi wameuawa na wengine saba kutekwa nyara siku ya Jumapili katika shambulio la silaha Jimbo la Benue nchini Nigeria, maafisa wanasema. Benjamin Hundeyin, afisa uhusiano mwema wa Polisi nchini Nigeria, alisema katika taarifa kuwa watu wasiojulikana na waliokuwa na silaha waliwalenga maafisa wa polisi katika eneo la Agu. Hundeyin alithibitisha kuwa maafisa watatu walipoteza maisha wakati wa shambulizi hilo huku saba wakitekwa nyara. Aliongeza kuwa maafisa wa usalama wamepelekwa kwenye eneo hili na washukiwa saba tayari wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.
Taskar labarai
Wannan sashe yana nuna tsoffin labarai da ranakun da aka wallafa su. An nuna labarin a harshensa na asali.
Polisi 3 wauawa, 7 watekwa nyara katika shambulio la silaha Nigeria
Mamlaka zinasema kuwa watu wasiojulikana na waliokuwa na silaha waliwalenga maafisa hao eneo la Agu la Jimbo la Benue; washukiwa 6 wamekamatwa Maafisa watatu wa polisi wameuawa na wengine saba kutekwa nyara siku ya Jumapili katika shambulio la silaha Jimbo la Benue nchini Nigeria, maafisa wanasem...
A taƙaice