Ni wakati wa kuanzisha mazungumzo ya kina, ya dhati na jumuishi ili kumaliza mzozo huo," Papa anasema. Papa Leo XIV Jumatano alitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa wa kukomesha janga la kibinadamu linaloendelea nchini Sudan, kulingana na Vatican News. "Ninatoa wito wa dhati kwa wale wanaohusika na jumuiya ya kimataifa kuhakikisha kuwa kuna njia za kutoa misaada ya kibinadamu na kuendesha juhudi zilizoratibiwa ili kukomesha janga hili la kibinadamu," Papa Leo amesema wakati wa hadhira yake kuu. Akiashiria njaa na ghasia, Papa alielezea hali ya Sudan kama "ya kushangaza" na kutoa wito wa kupatikana kwa misaada ya kibinadamu. "Ni wakati wa kuanzisha mazungumzo mazito, ya dhati na ya kujumuisha pande zote ili kumaliza mzozo huo na kurejesha matumaini, utu na amani kwa watu wa Sudan," alibainisha. Maporomoko ya ardhi na kipindupindu
Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.
Papa Leo XIV atoa wito wa kusitishwa kwa 'janga la kibinadamu' Sudan
Ni wakati wa kuanzisha mazungumzo ya kina, ya dhati na jumuishi ili kumaliza mzozo huo," Papa anasema. Papa Leo XIV Jumatano alitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa wa kukomesha janga la kibinadamu linaloendelea nchini Sudan, kulingana na Vatican News. "Ninatoa wito wa dhati kwa wale wanaohusika na...