Gida / Taskar labarai
Taskar labarai

Wannan sashe yana nuna tsoffin labarai da ranakun da aka wallafa su. An nuna labarin a harshensa na asali.

Osimhen arudi rasmi Galatasaray baada ya kumalizana na Napoli

Hatua hiyo inakuja baada ya mazungumzo ya muda mrefu na Napoli, baada ya nyota huyo Mnigeria kuichezea Galatasaray kwa mkopo, msimu uliopita. Klabu ya Galatasaray imefikia makubaliano ya kumsajili mazima nyota wa Nigeria Victor Osimhen kutokea knali ya Napoli ya nchini Italia. Osimhen, ambaye ali...

NewstimeTR Haber Merkezi · · An sabunta 2026-08-13, 05:26:19
Osimhen arudi rasmi Galatasaray baada ya kumalizana na Napoli
A taƙaice

Hatua hiyo inakuja baada ya mazungumzo ya muda mrefu na Napoli, baada ya nyota huyo Mnigeria kuichezea Galatasaray kwa mkopo, msimu uliopita. Klabu ya Galatasaray imefikia makubaliano ya kumsajili mazima nyota wa Nigeria Victor Osimhen kutokea knali ya Napoli ya nchini Italia. Osimhen, ambaye ali...

Hatua hiyo inakuja baada ya mazungumzo ya muda mrefu na Napoli, baada ya nyota huyo Mnigeria kuichezea Galatasaray kwa mkopo, msimu uliopita. Klabu ya Galatasaray imefikia makubaliano ya kumsajili mazima nyota wa Nigeria Victor Osimhen kutokea knali ya Napoli ya nchini Italia. Osimhen, ambaye alisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Galatasaray, aliwasili katika uwanja wa ndege wa Atatürk jijini Istanbul, akiwa pamoja na Makamu wa Rais wa klabu ya Galatasaray, Abdullah Kavukcu. “Sina namna ya kuelezea furaha hii. Ni raha iiyoje kuwepo hapa. Tazama huu umati unavyoisindikiza ndege. Niko nyumbani. Hapa ndipo napostahili kuwepo,” alisema Osimhen wakati akizungumza na waandishi wa habari. Mfumania nyavu huyo mwenye umri wa miaka 26, anategemewa kufanyiwa vipimo vya afya Julai 31, kabla ya kusaini mkataba na klabu ya Galatasaray.