Accueil / Archives
Archives

Cette rubrique présente les archives avec leurs dates de publication originales. L’article est affiché dans sa langue d’origine.

Nigeria yawaondoa nchini raia wa kigeni matapeli 102, wengi wao wakiwa raia wa China

Waliofukuzwa nchini humo walikuwa miongoni mwa washukiwa 792 wanaoaminika kuhusika na wizi wa mitandaoni waliokamatwa katika msako jijini Lagos. Nigeria imewaondoa nchini raia wa kigeni 102 ikiwemo raia wa China 50 waliopatikana na hatia ya "ugaidi wa mitandaoni na utapeli wa mitandaoni", taasisi...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Mis à jour 13/08/2026 05:26:18
Nigeria yawaondoa nchini raia wa kigeni matapeli 102, wengi wao wakiwa raia wa China
En bref

Waliofukuzwa nchini humo walikuwa miongoni mwa washukiwa 792 wanaoaminika kuhusika na wizi wa mitandaoni waliokamatwa katika msako jijini Lagos. Nigeria imewaondoa nchini raia wa kigeni 102 ikiwemo raia wa China 50 waliopatikana na hatia ya "ugaidi wa mitandaoni na utapeli wa mitandaoni", taasisi...

Waliofukuzwa nchini humo walikuwa miongoni mwa washukiwa 792 wanaoaminika kuhusika na wizi wa mitandaoni waliokamatwa katika msako jijini Lagos. Nigeria imewaondoa nchini raia wa kigeni 102 ikiwemo raia wa China 50 waliopatikana na hatia ya "ugaidi wa mitandaoni na utapeli wa mitandaoni", taasisi ya kupambana na ufisadi katika taifa hilo la Afrika magharibi ilisema siku ya Alhamisi. Raia mmoja wa Tunisia pia alikuwa miongoni mwa wale waliotimuliwa tangu Agosti 15, Taasisi hiyo ya Kupambana na ufisadi wa Kiuchumi na Fedha (EFCC) ilisema kwenye taarifa, huku wengine zaidi wakitarajiwa kuondolewa katika siku chache zijazo. Walioondolewa nchini humo walikuwa miongoni mwa washukiwa 792 waliokamatwa katika msako wakihusishwa na wizi wa mitandaoni katika mtaa wa kifahari wa Victoria Island, jijini Lagos Disemba iliyopita. Watu wasiopungua 192 miongoni mwa wale waliokamatwa walikuwa raia wa kigeni, Wachina wakiwa 148, EFCC ilisema. Wanatapeli watu