Accueil / Archives
Archives

Cette rubrique présente les archives avec leurs dates de publication originales. L’article est affiché dans sa langue d’origine.

Ni Angola au Kenya mechi ya pili kundi A CHAN 2024?

Paa weusi Angola leo wanaingia uwanjani kutafuta ushindi wao wa kwanza wakati watakapokabiliana na Harambee Stars ya Kenya katika uwanja wa Kasarani jijini Nairobi. Kocha wa Harambee Stars Benni McCarthy anasema watakuwa makini wakati watakapokabiliana na Angola kwenye mechi ya kundi ya A, huku w...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Mis à jour 13/08/2026 05:26:18
Ni Angola au Kenya mechi ya pili kundi A CHAN 2024?
En bref

Paa weusi Angola leo wanaingia uwanjani kutafuta ushindi wao wa kwanza wakati watakapokabiliana na Harambee Stars ya Kenya katika uwanja wa Kasarani jijini Nairobi. Kocha wa Harambee Stars Benni McCarthy anasema watakuwa makini wakati watakapokabiliana na Angola kwenye mechi ya kundi ya A, huku w...

Paa weusi Angola leo wanaingia uwanjani kutafuta ushindi wao wa kwanza wakati watakapokabiliana na Harambee Stars ya Kenya katika uwanja wa Kasarani jijini Nairobi. Kocha wa Harambee Stars Benni McCarthy anasema watakuwa makini wakati watakapokabiliana na Angola kwenye mechi ya kundi ya A, huku wakiwa tayari wametia alama tatu kibindoni. Timu ya Angola, ambayo iko katika nafasi ya 85 katika orodha ya Shirikisho la Soka duniani FIFA, ikilinganishwa na Kenya, ambayo iko katika nafasi ya 109, na inabidi wakabiliane vilivyo kuepuka wasipoteze fursa ya kufuzu kwa hatua ya muondoano.